English Swahili
Fedora 35 User Documentation Maelezo ya Fedora 35
Fedora documentation describes how to install and use the Fedora operating system and the software packaged by the Fedora Project. Maelezo ya kusakinisha na kutumia mfumo wa uendeshaji wa Fedora na programu zilizioundwa na Mradi wa Fedora.
The Fedora Documentation Project only actively maintains documentation for the most recent release and the one before it. We also preserve older documentation on this site for historical interest and to acknowledge the generous contribution of time and effort by many, many writers and translators. In 1997, Richard Stallman wrote: Mradi wa Maelezo ya Fedora hutunza maelezo kwa toleo la hivi karibuni, na toleo lililolitangulia tu. Maelezo ya zamani yangalipo ili kuhifadhi historia, na kuthamini mchango mkarimu wa wakati na jitihada za wajitoleaji na watafsiri wengi mno. Mnamo 1997, Richard Stallman aliandika:
This section contains three books about Fedora 35: Sehemu hii inatia ndani vitabu vitatu kuhusu Fedora 35:
We thank everybody who worked hard to correct that deficiency for previous versions of Fedora. Tunawashukuru wote waliojitahidi kusahihisha upungufu huu katika miundo iliyopita ya Fedora.
"The biggest deficiency in free operating systems is not in the software — it is the lack of good free manuals that we can include in these systems.”footnote:[Free Software and Free Manuals, available from link:http://www.gnu.org/philosophy/free-doc.html[]] "Upungufu mkuu katika mifumo ya kuendesha ya bure si programu — bali ni ukosefu wa maelezo mazuri ya bure kwa mifumo hii"footnote:[Programu na Maelezo ya Bure, kinapatikana link:http://www.gnu.org/philosophy/free-doc.html[]]
xref:f35@fedora:install-guide:index.adoc[Fedora 35 Installation Guide] xref:f35@fedora:install-guide:index.adoc[Mwongozo wa Kusakinisha Fedora 35]
xref:f35@fedora:release-notes:index.adoc[Fedora 35 Release Notes] xref:f35@fedora:release-notes:index.adoc[Maelezo ya toleo la Fedora 35]
xref:f35@fedora:system-administrators-guide:index.adoc[Fedora 35 System Administrator’s Guide] xref:f35@fedora:system-administrators-guide:index.adoc[Mwongozo kwa Wasimamizi wa Mfumo wa Fedora 35]