English Swahili
= Fedora Documentation
:page-layout: homepage

++++
User Documentation Maelezo ya Matumizi
Fedora Linux 36 Fedora Linux 36
Documentation covering the most recent release, Fedora Linux 36. Maelezo ya toleo la hivi karibuni, Fedora Linux 36.
Fedora Linux 35 Fedora Linux 35
Documentation covering the Fedora Linux 35 release. Maelezo ya toleo la Fedora Linux 35.
Quick Docs Maelezo Kwa Kifupi
How tos and tutorials for using and configuring Fedora Linux. Mielekezo na mafunzo ya matumizi na mipangilio ya Fedora Linux.
Fedora Server Fedora Server
Are you using Fedora Linux on a server? This section is for you. Je, unatumia Fedora Linux kwenye seva? Sehemu hii itakufaa.
Fedora IoT Fedora kwa Mtandao wa Vifaa (IoT)
Strong foundation for IoT projects at home, industrial gateways, smart cities or analytics with AI/ML. Msingi thabiti wa miradi ya IoT nyumbani, viwandani au hata katika miji dijitali. Pia, uchanganuzi kutumia AI/ML.
Fedora Silverblue
Immutable desktop variant of Fedora Workstation and an excellent platform for container-focused workflows. Mfumo wa Fedora Workstation usiobadilika na ulio bora kwa kutekeleza kazi kutumia kontena.
Fedora CoreOS
Fedora CoreOS is a minimal, container-focused operating system, designed for clusters but also operable standalone. Fedora CoreOS ni mfumo wa uendeshaji mdogo, ulioundwa hasa kwa matumizi ya kontena kwenye vikundi vya seva. Lakini pia u kamili, na huweza kujitegemea.
EPEL Vifurushi vya Ziada vya Linux ya Kibiashara
Documentation for the Extra Packages for Enterprise Linux (EPEL) project. Maelezo ya mradi wa Extra Packages for Enterprise Linux (EPEL).
Fedora Kinoite
Immutable desktop variant of Fedora featuring the KDE Plasma desktop and container-focused workflows. Mfumo wa Fedora usiobadilika na utumiao KDE Plasma, ulioundwa kwa uendeshaji kutumia kontena.